Monday, March 5, 2012
TECHNOSUNDAY ILIYOFANYIKA JANA DAR ES SALAAM
Baadhi ya washiriki wa semina ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano iliyofanyika jana katika ukumbi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia,semina hizi zinazowezeshwa na Gonzaga Rugambwa zitakuwa zikifanyika kila jumapili