Friday, July 17, 2015
CHUO KIKUU CHA MOUNT KENYA (MKU) CHAANZISHA USAFIRI KWA KUTUMIA BUS LENYE HUDUMA ZA KIDIGITALI
Chuo kikuu cha Mount Kenya (MKU) limeanzisha mpango wa kusafirisha wanafunzi wa chuo hicho kutumia bus la abiria la kidijitali .
Bus hilo lenye viti vya kubeba abiria 62 liloundwa na Kampuni ya Banbros Ltd ya nchini Kenya linathamani ya shilingi milioni 15 za Kenya likiwa na huduma ya intanet ya wireless ya kasi (Wifi),miundo mbinu ya kupata mawasiliano ya intanet,sehemu za charger ya vifaa vya kiteknohama na televisheni kubwa ambayo inawawezesha wanafunzi kuendelea kujifunza masomo wakiwa safarini.
Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Stanley Waudo amesema chuo hicho kimekusudia kutoa elimu bora ya viwango na pia kitahahikisha kina wafikia wanafunzi hata wale ambao wanaweza elimu ya chuo hicho kupitia mtandao.
Popular Posts
-
Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) jana imekabidhi mradi wa mawasiliano utaotumiwa katika mikoa 12 ya Tanzania kwa ofisi ya Mkaguzi na ...
-
Miaka michache iliyopita kulikuwa na changamoto ya kuhifadhi vitu sehemu ambayo mtu anaweza kutumia akiwa popote duniani akiwa ame...
-
Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, Thomas Lemunge akitoa ufafanuzi katika semina kwa wahariri juu ya mkongo wa taifa katika...


