| Kutoka Kushoto Gerald Masatu,Mtangazaji Maduhu,Brown Nyanza(IFM),Mama Kagize,Johnson Kuga Mzirai na Jonathan Mnyela |
Monday, August 6, 2012
WADAU WA KIPINDI CHA MAISHA NA TEKNOHAMA MORNING STAR RADIO
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU UHARIFU KWA MITANDAO
Kumekuwa na ongezeko kubwa la uhalifu kwa njia ya mtandao kutokana na kukuwa kwa tekinolojia mbalimbali za mitandao na kuongezeka kwa maarifa kwa baadhi ya watu wanaofanya shughuli mbalimbali kwa njia ya mtandao , katika watu hawa kuna wema+ na wale ambao si wema wanaotumia ujuzi wao huu kwa ajili ya kufanya uhalifu mbalimbali .
MTANDAO NI NINI?
Ni muunganisho wa vifaa mbalimbali vya mawasiliano unaosababisha vifaa hivyo kuwasiliana au watu wanaotumia vifaa hivyo kuwasiliana kwa nia ya kupata taarifa , kuhifadhi , kuchapisha au kufanya shuguli nyingine yoyote kwa njia ya mtandao .
Mtandao ni sharti kuwe na muungano fulani, kama simu ya mkononi , kompyuta ,luninga za digitali na vifaa vingine mbalimbali.
UHALIFU KWA NJIA YA MTANDAO NI NINI?
Ni pale mtu au kundi la watu wanapotumia njia mbalimbali za kimtandao kutenda makosa , hii inaweza kuwa wizi kwa njia ya mtandao inaweza kuwa hela , wizi wa taarifa na masuala yanayohusiana na suala zima la wizi , kudanganya watu watembelee tovuti Fulani kwa ajili ya kuwaibia taarifa zao , kuchapisha taarifa za uwongo ,kudownload (kupakua) program au muziki bila kununua au kwa kutumia program zilizokatazwa ,kutokufuata sheria na taratibu za nchi au eneo husika pale tunapotumia mtandao unapokuwa hapo .
UHALIFU WA MTANDAO UNA MIPAKA?
Uhalifu wa mtandao una mipaka kutegemeana na sheria au taratibu za sehemu ambayo mtu anatumia kwa wakati huo , kwa mfano kuna baadhi za nchi sheria zake za mtandao haziruhusu kutembelea au kutafuta vitu Fulani kwa njia ya mtandao ukifanya hivyo unakuwa umefanya kosa ,lakini uhalifu unaweza kufanyika mtu akiwa popote na saa yoyote endapo ameunganishwa kwenye mtandao .
SHERIA ZINASEMAJE KUHUSU UHALIFU WA MTANDAO?
Kama nilivyosema inategemea na mtu alipo na jinsi uhalifu ulivyofanyika , kuna baadhi ya nchi hazina sheria za masuala ya mitandao haswa inayohusu mawasiliano ya kimataifa(Internet), mtu anapokuwa kwenye nchi hiyo akafanya uhalifu sehemu nyingine ni ngumu kumtia hatiani au sheria za nchi husika zinapokuwa sio nzuri zinavutia zaidi wahalifu kujihifadhi au kutumia mitandao ya nchi hiyo kufanya uhalifu dhidi ya maeneo mengine ya dunia .
TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI TUKO WAPI ?
Mpaka sasa hakuna sheria moja ya masuala ya mawasiliano kwa jumuiya ya afrika mashariki kila nchi ina sheria zake ndogo ndogo Kwa Tanzania kuna EPOCA ambayo inagusia zaidi mawasiliano ya elekitroniki ,na kuna kikundi cha kupambana na uhalifu kwa njia ya mtandao kinachoitwa CERT .
SASA TUFANYAJE?
Nchi inapokuwa na sheria zake za mawasiliano haswa ya mtandao inapendeza na wengine haswa kampuni zinaweza kuandaa sera zao za mawasiliano kutumia muongozo wa nchi husika , sasa hivi kwa kampuni na mashirika hapa Tanzania yamekuwa yanapata tabu kuandaa sera zao za mitandao kutokana na kukosekana kwa sheria hizi za nchi .
Hata kama nchi haina , wewe kama kiongozi wa sherika au kampuni unaweza kuandaa muongozo wa mawasiliano ndani ya idara yako au kampuni yako itakayoongoza wafanyakazi na wageni wengine wanaotumia vifaa vya kazini kwako kwa ajili ya mawasiliano ili waweze kufuata taratibu na wanaweza kujiepusha na uhalifu mbalimbali kwa njia ya mtandao .
Miongozo hii inahusiana na matumizi ya vifaa pale anapoanza kutumia mtandao au anapoleta vifaa vyake kuunganisha , au anapotoa maoni katika mitandao ya kijamii , kuangalia picha , kushusha vitu mbalimbali , haki miliki na mengine mengi.
Na: Bupe Berrums bberrums@gmail.com-Wanabidii
Friday, July 6, 2012
VIRUS COULD BLACK OUT NEARLY 250,000 PCs
BOSTON (Reuters) - About a quarter-million computer users around the world are at risk of losing Internet access on Monday because of malicious software at the heart of a hacking scam that U.S. authorities shut down last November.
Some blogs and news reports hyped the risk of an outage, warning of a potential "blackout" and describing the Alureon malware as the "Internet Doomsday" virus.
Yet experts said only a tiny fraction of computer users were at risk, and Internet providers would be on call to quickly restore service. They said they considered the threat to be small compared with more-prevalent viruses such as Zeus and SpyEye, which infect millions of PCs and are used to commit financial fraud.
As of this week, about 245,000 computers worldwide were still infected by Alureon and its brethren, according to security firm Deteque. That included 45,355 computers in the United States.
The viruses were designed to redirect Internet traffic through rogue DNS servers controlled by criminals, according to the FBI. DNS servers are computer switchboards that direct Web traffic.
When authorities took down the rogue servers, a federal judge in New York ordered that temporary servers be kept in place while the victims' machines were repaired. The temporary servers will shut down at 12:01 a.m. EDT on Monday, which means the infected PCs that have not been fixed will no longer be able to connect to the Internet.
Some U.S. Internet providers, including AT&T Inc and Time Warner Cable, have made temporary arrangements so that their customers will be able to access the Internet using the address of the rogue DNS servers.
Information on how to identify and clean up infections can be found on a website that a group of security firms and other experts set up: http://www.dcwg.org.
"It's a very easy one to fix," said Gunter Ollmann, vice president of research for security company Damballa. "There are plenty of tools available."
Many of the machines that remain infected are probably not in active use since most victims were notified of the problem, said security expert Johannes Ullrich, who runs the Internet Storm Center, which monitors Web threats.
The United States has charged seven people for orchestrating the worldwide Internet fraud. Six were arrested in Estonia, while the seventh, who was living in Russia, is still at large. Tallinn has so far extradited two of the men to New York where they appeared in Manhattan federal court.
The case is USA v. Tsastsin et al, U.S. District Court for the Southern District of New York, No. 11-cr-878.
(Reporting by Jim Finkle in Boston; Additional reporting by Basil Katz in New York; Editing by Lisa Von Ahn)
Tuesday, July 3, 2012
KUCHAPISHWA KWA MISIMBO YA POSTA (ORODHA ZA POSTIKODI)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
Kufuatana na kifungu nambari 41 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya mwaka 2010, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania inapenda kufahamisha umma kwamba orodha ya Misimbo ya Posta au ‘postikodi’ za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechapishwa kupitia Gazeti ya Serikali Notisi nambari 220 ya tarehe 22 Juni 2012.
Msimbo wa posta (Postikodi) ni mkusanyiko wa tarakimu inayotambulisha eneo la usambazaji wa barua na kwa Tanzania eneo linalotambulishwa ni Kata kwa Tanzania Bara na Wadi kwa Zanzibar. Kazi hii ya kitaalamu ya kugawa misimbo ya posta imefanyika baada ya utafiti wa muda mrefu ambao umehusisha watalaamu mbalimbali. Ili kuufahamu mfumo wa Msimbo wa Posta wa Tanzania, vigezo vifuatavyo vimetumika kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
(a) Tanzania imegawanywa katika kanda 6 na Zanzibar kama ifuatavyo;
1 - Dar es Salaam
2 - Kaskazini
3 - Ziwa
4 - Kati
5 – Nyanda za Juu Kusini
6 – Pwani
7 – Zanzibar
(b) Tarakimu ya kwanza na ya pili ya msimbo wa posta (kwa pamoja) inawakilisha mkoa katika Tanzania
(c) Tarakimu ya kwanza, ya pili na ya tatu (kwa pamoja) inawakilisha Wilaya au Eneo la kati la Biashara katika Wilaya
(d) Tarakimu ya kwanza hadi ya tano ya msimbo wa posta inawakilisha Kata, Wadi, Watumiaji wakubwa wa posta, Vitu maarufu na Shughuli maalumu
MIFANO YA MISIMBO YA POSTA;
11707: Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
23101: ICC, Arusha
33106: Kirumba, Mwanza
41105: Makole, Dodoma
57103: Mfaranyaki, Songea
63219: Msanga Mkuu, Mtwara
73104: Mkokotoni, Unguja
74209: Wawi, Chake Chake
3. Anuani mpya zitawezesha ufikishwaji majumbani barua na vifurushi. Kwa mfano anwani kamili inatolewa hapa chini:
Amos Mbawala
20 Barabara ya Mashele
23101 ARUSHA
2 – Kanda - Kasikazini
23 - Mkoa - Arusha
231 – Wilaya - Arusha
23101 –Kata - Sekei
Orodha ya ‘Postikodi’ imechapishwa kwa ajili ya maeneo ya usambazaji ikijumuisha Mikoa, Wilaya na Kata kama ilivyoainishwa 1 na 2 hapo juu. Orodha ya misimbo ya posta (postikodi) itatolewa kwa ajili ya vigezo vingine vilivyooneshwa 3-5 hapo juu.
Umoja wa Posta Duniani ambacho ni chombo cha Umoja wa Mataifa chenye wajibu wa kuendeleza sekta ya posta katika nchi wanachama, utaarifiwa rasmi ambapo utawafahamisha wadau wakuu wote duniani kuhusiana na matumizi ya mfumo mpya katika Tanzania.
2. Vigezo vilivyotumika kugawa misimbo ya posta (postikodi)
Kigezo | Maelezo | |
1 | Eneo la Utawala | Kata au Wadi imechaguliwa kuwa eneo la chini la usambazaji. |
2 | Ofisi za Posta | Kila Ofisi ya Posta itakuwa na msimbo wa posta. Mteja mwenye S.L.B katika Posta fulani atatumia Msimbo wa posta (postikodi) ya Posta ile. |
3 | Watumaji wa barua wakubwa | Watumaji wa barua wakubwa kama Wizara za Serikali, Taasisi za Umma, Taasisi za Udhibiti, Makampuni, Taasisi za Kimataifa, Taasisi zisizo za kiserikali zitapewa msimbo maalumu wa posta. |
4 | Vitu maarufu | Eneo au umbo la kitu ambacho kimehifadhiwa kwa sababu ya kuhifadhi historia litapewa msimbo maalumu wa posta. |
5 | Matukio au shughuli maalumu (Kwa muda) | Kutakuwa na misimbo ya posta ambayo itahifadhiwa kwa ajili ya kugawanywa endapo kutakuwa na shughuli maalumu katika nchi. |
Ufafanuzi wa mfumo wa msimbo wa posta
Mfumo wa msimbo wa posta wa Tanzania utaundwa na tarakimu tano (5) ambazo zinatafisiriwa kama ifuatavyo:
Muundo wa Msimbo wa Posta | Maelezo |
X X X X X | Tarakimu 5 (Mfumo wa Tarakimu za Msimbo wa Posta) |
X - - - - | Tarakimu ya kwanza = Kanda (1 – 7 tazama (a) hapa chini) |
X X - - - | Tarakimu mbili za kwanza = Mkoa |
X X X - - | Tarakimu tatu za kwanza = Wilaya |
X X X X X | Tarakimu zote tano = Kata/Wadi (Eneo la usambazaji) |
Tarakimu zote tano = Ofisi ya posta / mteja mkubwa / Eneo maarufu /Misimbo ya posta ya shughuli maalumu. |
Saturday, June 30, 2012
HOW IPHONE CHANGED OUR LIVES
On June 28, 2007, Nokia was the top selling mobile-phone company in the world, people stopped working when they left their computers, Android phones didn't exist, and high-powered executives were addicted to thumbing on their BlackBerrys.
The next day, Apple's first iPhone went on sale.
At $600, it was a luxury item at first. But five years later, the phone's dramatic impact can be seen in our daily lives, schools, factories and boardrooms. To date, more than 217 million iPhones have been sold, and they're being used by construction workers to read blueprints, doctors to diagnose patients, governments to improve services and parents to quiet their kids in restaurants.
To ring in its 5th birthday, here are five ways the iPhone has made a mark on the world.
A new way of interacting with computers
In 2007, we were a nation of skilled texters, banging out OMG-filled coded messages at lightning speeds on numerical keypads and physical keyboards. The iPhone was lacking either of those, instead offering a nothing-but-screen keyboard.
It was a classic Apple move toward dead-simple usability, and it helped bring a slice of computing to a whole new audience, including technophobes, kids, senior citizens and people with visual or hearing impairments.
Suddenly, users could navigate their phones with a few swipes of the finger. Kids intuitively seemed to know how to use it. And the phone ushered in a new wave of touchscreen devices.
After the hefty price tag, the lack of a physical keyboard was the first complaint many reviewers lodged against the iPhone. It didn't scare off consumers, though, and Apple sold a million iPhones in less than three months. Typing speeds on the iPhone still may not rival a pair of BlackBerry thumbs at their peak, but predictive-text software, spell check and, later, cut and paste have made it a usable alternative.
In October, Apple tried to shake up input again with the introduction of the Siri voice-assistant feature. The voice-recognition technology encouraged users to speak commands and questions instead of of tapping them in on the screen.
source:CNN
Friday, June 29, 2012
UNAMWAMINI VIPI MPENZI WAKO NA PASSWORD ?
Katika siku za karibuni tumekuwa na kesi nyingi za wapenzi kuibiana fedha , nyaraka na siri nyingine kwa njia ya mtandaohaswa simu ,barua pepe na mifumo mengine mbalimbali ya mawasiliano .
Kitu kilichogunduliwa baada ya uchunguzi mwingi ni kwamba wapenzi
wengi wanaaminiana sana haswa wanawake kuamini sana wapenzi wao wa kiume kiasi kwamba atampa password za email yake , kadi yake ya benki na hata siri za kazini kwake kisa anaogopa kuachwa .
Tukumbuke kwamba password au neno la siri ni mali ya mtu binafsi na ni yako wewe mwenyewe , ukienda benki ukapewa password au neno la siri kwa ajili ya kadi yako ya benki ni wewe umeingia mkataba na benki sio mpenzi wako , mdogo wako au mumeo au jirani yako .
Kitu kilichogunduliwa baada ya uchunguzi mwingi ni kwamba wapenzi
wengi wanaaminiana sana haswa wanawake kuamini sana wapenzi wao wa kiume kiasi kwamba atampa password za email yake , kadi yake ya benki na hata siri za kazini kwake kisa anaogopa kuachwa .
Tukumbuke kwamba password au neno la siri ni mali ya mtu binafsi na ni yako wewe mwenyewe , ukienda benki ukapewa password au neno la siri kwa ajili ya kadi yako ya benki ni wewe umeingia mkataba na benki sio mpenzi wako , mdogo wako au mumeo au jirani yako .
Sikatazi watu kupeana namba za siri manake kupeana muda mwingine
unajenga kuaminiana zaidi , kupendana zaidi na hata kuweza kusaidiana katika mikasa ya hapa na pale endapo mtu ana hizo namba za siri huu ndio uzuri wa kupeana namba za siri .
Ubaya wake ni mwingi na unaweza kuwa mchungu zaidi katika maisha yako yote , kwa mfano mtu akakuta picha zako au nyaraka nyingine za siri kwenye email zako akaamua kuzihifadhi sehemu nyingine kwa kuzichukuwa baadaye ukaona picha hizo kwenye magazeti , blogu na sehemu nyingine za kijamii , kwa nyaraka au namba za siri za benki mtu anawezakuchukuwa na yeye mwenyewe akaenda kukuibia hela au anaweza kumtumiamtu mwingine ndani ya benki au nje kwa ajili ya kuhamisha fedha haswakiasi kikubwa cha fedha na usimwone tena pengine haswa kama mmeokotana njiani .
Kama wewe ni muajiriwa na ukampa mpenzi wako password ya anuani pepe yako akafanikiwa kuangalia mawasiliano yako na wafanyakazi ,
wasimamizi wako au hata siri nyingine za unapofanyia kazi hizi
zinaweza kuibiwa na kutumika dhidi yako au dhidi ya kampuni yako au serikali yako muda wowote .
Hizo zote ni tisa kumi ni pale mpenzi wako anapoingia ndani ya barua pepe yako na kuweka taarifa nyingine bila ya wewe kujua ili awezekuzitumia pindi mtakapoachana au kukorofichana , kwenye barua pepe yako kuna sehemu inaitwa PASSWORD RECOVERY hata kwenye simu kuna baadhi zenye huduma za Recovery .
Ukiwa kwenye barua pepe kuna kitu kinaitwa recovery Options hii
inayoweza kutumika ni kwa kuweka anuani nyingine ya barua pepe kwa ajili ya kurejesha pwd kama imepotea au imesahaulika , saa nyingine unaweza kutumia namba za simu kwa ajili ya kuweza kurudisha password yako .
Unapomwachia mpenzi wako password yako anaweza kuingia kwenye barua pepe yako na kubadilisha hizo taarifa pale kwenye recovery email ataweka yake unayoijua au usiyoijua , kwenye namba za simu anaweza pia kuweka zake . ikiwa ndio hivi ataweza kubadilisha password muda wowote akitaka na wewe usiweze tena kuingia katika anuani hizo .
Nakumbusha tena kwa kuuliza unamwamini mpenzi wako na password ? kama unamwamini hongera zako lakini ujue password ni mali binafsi na anuani pepe ni mali binafsi pia labda kama kuna makubaliano mengine ya ziada .
NB : Hii haihusiani na pale unapotegeshewa programu ya kunukuu na
kuhifadhi password kwenye ma internetcafe au maofisini zinazoitwa
KEYGEN . Keygen ni mada tofauti ingawa ukishtuka password yako
imeibiwa unauwezo wa kubadili password haraka .
USHAURI WANGU
Hakikisha unabadili password zako za barua pepe , kadi za benki , simu na vifaa vingine mara kwa mara na hakikisha taarifa hizo zinatunzwa na kama unashare na mtu hakikisha unakuwa na njia mbadala za kuweza kurecover namba za siri kama zimepotea mara moja la sivyo siku utakujalia .
YONA FARES MARO
0786 806028
Friday, May 18, 2012
THIS IS FACEBOOK
Facebook was founded by Mark Zuckerberg in February 2004, initially as an exclusive network for Harvard students. It was a huge hit: in 2 weeks, half of the schools in the Boston area began demanding a Facebook network. Zuckerberg immediately recruited his friends Dustin Moskoyitz and Chris Hughes to help build Facebook, and within four months, Facebook added 30 more college networks.
The original idea for the term Facebook came from Zuckerberg’s high school (Phillips Exeter Academy). The Exeter Face Book was passed around to every student as a way for students to get to know their classmates for the following year. It was a physical paper book until Zuckerberg brought it to the internet.
With this success, Zuckerberg, Moskowitz and Hughes moved out to Palo Alto for the summer and rented a sublet. A few weeks later, Zuckerberg ran into the former cofounder of Napster,Sean Parkerr. Parker soon moved in to Zuckerberg’s apartment and they began working together. Parker provided the introduction to their first investor,Peter Thiel, cofounder of PayPall and managing partner of The Founders Fund. Thiel invested $500,000 into Facebook.
With millions more users,Friendster attempted to acquire the company for $10 million in mid 2004. Facebook turned down the offer and subsequently received $12.7 million in funding from Accel Partners, at a valuation of around $ 100 million. Facebook continued to grow, opening up to high school students in September 2005 and adding an immensely popular photo sharing feature the next month. The next spring, Facebook received $25 million in funding from Greylock Partners and Meritech Capital, as well as previous investors Accel Partners and Peter Thiel. The pre-money valuation for this deal was about $525 million. Facebook subsequently opened up to work networks, eventually amassing over 20,000 work networks. Finally in September 2006, Facebook opened to anyone with an email address.
In the summer of 2006,Yahoo attempted to acquire the company for $1 billion dollars.Reports actually indicated that Zuckerberg made a verbal agreement to sell Facebook to Yahoo. A few days later when Yahoo’s stock price took a dive, the offer was lowered to $800 million and Zuckerberg walked away from the deal. Yahoo later offered $1 billion again, this time Zuckerberg turned Yahoo down and earned instant notoriety as the “kid” who turned down a billion. This was not the first time Zuckerberg turned down an acquisition offer;Viacom had previously unsuccessfully attempted to acquire the company for $750 million in March, 2006.
One sour note for Facebook has been the controversty with social network ConnectU. The founders of ConnectU, former classmates of Mark Zuckerberg at Harvard, allege that Zuckerberg stole their original source code for Facebook. The ordeal has gone to court, and has now been resolved.
Notwithstanding this lingering controversy, Facebook’s growth in the fall of 2007 was staggering. Over 1 million new users signed up every week, 200,000 daily, totaling over 50 million active users. Facebook received 40 billion page views a month. Long gone were the days of Facebook as a social network for college students. 11% of users are over the age of 35, and the fastest growing demographic is users over 30. Facebook has also seen huge growth internationally; 15% of the user base is in Canada. Facebook users’passion or addiction, to the site is unparalleled: more than half use the product every single day and users spend an average of 19 minutes a day on Facebook. Facebook is 6th most trafficked site in the US and top photo sharing site with 4.1 bilion photos uploaded.
Based on these types of numbers,Microsoft invested $240 million into Facebook for 1.6 percent of the company in October 2007. This meant a valuation of over $15 billion, making Facebook the 5th most valuable US Internet Company, yet with only $150 million in annual revenue. Many explained Microsoft’s decision as being solely driven by the desire to outbid Google.
Facebook’s competitors include My Space, Bebo,Frindster,LinkedIn, Tagged,Hi5, Piczo,and Open Social..
Source:CrunchBase
Popular Posts
-
Meneja Uhusiano wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas Mushi akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam...
-
AT&T Inc. blasted the Federal Communications Commission on Thursday for compiling what it called an unfair and biased report on what...
-
Serikali ya Tanzania kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais imesema haitagharamia gharama zozote za...
-
Wapiga kura 2,845,256 wameandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki wa utambuzi wa mwili wa binada...
-
Windows 10 upgrade Watumiaji wa WINDOWS , je umepata ofa ya WINDOWS 10 ya bure toka kwa Microsoft ? Jambo hili liko hivi, Microsoft ...
-
1.Kutune Gitaa /Kutafuta Ufunguo wa Sauti ya Gitaa Kulikuwa na wakati ambapo bei ya vifaa vya umeme kwa ajili ya kutafuta ...
-
Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na uhalifu unaotafsiriwa kuwa ni wa kihistoria na uliof...
-
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa, amesema uchumi wa Tanzania unaweza kukua kati ya asil...
-
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam leo. ...
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imezindua mfumo mpya wa kuongoza vyombo vya usafiri majini utakaotumia kompyuta kwa lengo la kuv...


