Kutoka Kushoto Gerald Masatu,Mtangazaji Maduhu,Brown Nyanza(IFM),Mama Kagize,Johnson Kuga Mzirai na Jonathan Mnyela
Jonathan Mnyela akifafanua katika kipindi cha maisha na teknohama ndani ya studio za Morning Star Radio jambo ambapo mada ilikuwa ni Kuifahamu Smartphone na Tables na jinsi zinavyoweza kuleta tija katika masuala ya maendeleo kwa wananchi