Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania itafanya sherehe maalumu za kutimiza miaka 50 ya Uhuru katika Wiki ya Sayansi kuanzia jumatatu 7 Novemba 2011. Kupitia maonyesho hayo, Wizara na taasisi zake zitapata nafasi nyingine ya kuonyesha shughuri zao.
Hiiitakuwa fursa ya kipekee kwa jumuiya ya Kitanzania na Wageni wa nje kushuhudia kwa macho baadhi ya vielelezo vya historia hii yatakayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.
Kitabu cha Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia