Mkurungenzi wa Digital Brain Mbuto Chibwaye akifafanua jambo kwa Mtangazaji Maduhu kwenye banda la kampuni hiyo katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Nickson Songolo wa Open Tech Solution akifafanua kuhusu matumizi ya komputa moja kwa watumiaji zaidi ya mmoja |
Hellen Gaudenci wa kivuko.com akieleza jinsi wanavyojihusisha biashara mtandao (e-commerce) |
Othman Dazi wa Taasis ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) akieleza masuala mbalimbali ya teknolojia yanayofanywa na taasisi hiyo. |
Kifaa cha kupigia kura kilichobuniwa na DIT |
Afisa Mauzo wa Open Tech Solutions akitoa maelezo kwa William Izungo |
Ndani ya banda la maonyesho la Open Tech Solution kutoka kulia Darlene Parker,William Izungo,Mtangazaji Maduhu na Johnson Kuga