Afisa wa Taasisi ya uwezeshaji na ujengaji uwezo kwa wateknohama nchini KINU,Catherinerose Barretto akimkabidhi cheti Ally Said toka Pangani,Tanga |
Washiriki wa warsha ya Matumizi ya Mitandao jamii na Maendeleo katika jamii |
Wanateknohama 22 toka mashirika,asasi na Taasisi mbalimbali nchini Tanzania wameshiriki katika warsha ya siku tano iliyoendeshwa na KINU taasisi isiyo ya kiserikali inayowawezesha na kuwajengea uwezo wanateknohama nchini Tanzania katika kuleta tija ya maendeleo ya Teknohama.
Washa hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kujifunza namna ambavyo mitandao ya kijamii inavyoweza kutumiwa na wanateknohama katika kuleta tija ya maendeleo katika nyanja mbalimbali za maisha.