Saturday, January 26, 2013
MATUMIZI YA TABLETS SASA YASHIKA KASI
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa
Konferensi ya Mashariki mwa Tanzania Mchungaji Mark Warwa Marekana, Mchungaji L.Cooper
ambaye ni Makamu wa Kiongozi wa Mkuu katika kanisa la Waadventista wa Sabato
Ulimwenguni (GC) kutoka nchini Marekani akiwa na Mkurugenzi wa
mawasiliano Tanzania Mchungaji Mussa Mika wakiwa na tablets zao kwenye mkutano wa viongozi wa kanisa hilo toka katika kanda tatu nchini Tanzania uliofanyika Morogoro,matumi ya vifaa hivyo vya kiteknohama sasa yanaonekana kushika kasi kwa watu wa kada mbalimbali