 |
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Mch Musa Mika akizungumza na wanahabari kuhusu warsha ya Mawasiliano inayofanyika katika Hoteli ya Rombo Green View jijini Dar es salaam |
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Mch Godwin Lekundayo akifungua warsha hiyo
 |
Daryl Gungadoo(aliyevaa miwani)toka Radio ya Waadventista Ulimwenguni Uingereza na John Beckett toka idara ya mawasiliano ya kanisa la waadventista nchini Marekani wakiweka mambo sawa na kufuatilia kinachoendelea katika washa hiyo
|