Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Dr Godwin Lekundayo akiwaongoza viongozi wenzake katika maombi wakati wa ugawaji wa Tarakilishi mpakato (Laptop) 67,Printer 67 na Moderm 67 kwa wachungaji wa Kanda ya Mashariki ya Kanisa hilo Tanzania ETC uliofanyika March 9,2013 katika huko Ilala,Kushoto ni Kiongozi wa Kanda hiyo Mch Mark Walwa Malekana,Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kanisa hilo Katika Nchi za Afrika Mashariki na Kati Mch Steven Bina |