Wataalamu wa Teknolojia nchini Ghana wamebuni teknolojia ya kuhakiki ikiwa dawa ni bandia au ni halisi.
Teknolojia hiyo iliyozinduliwa juma hili na Rais wa Umoja wa wamiliki wa maduka ya dawa nchini Ghana (PSHG),James Ohemeng Kyei,inamwezesha mnunuzi kukwaruza kikaratasi kilichoko kwenye pakiti ya dawa kupata nambari maalum , kisha akatuma nambari hiyo kama ujumbe wa simu ya mkononi kwa mitandao yote ya simu nchini humo kwenda kwa namba 1393.
A
prospective buyer or user is expected to scratch the seal off the
secret code and text it to the short code 1393 on all networks to
authenticate the drug. - See more at:
http://graphic.com.gh/news/health/29319-technology-to-detect-fake-drugs-launched-in-accra.html#sthash.bEGTIGx9.dpuf

Kwa mujibu wa mtando wa graphic.com teknolojia hiyo iliyopewa jina la PREVENT inaweza kutoa majibu baada ya sekunde 10 ikiwa ni dawa
bandia au halisi ambayo imewezeshwa kutumiwa katika mitandao ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii.
A
prospective buyer or user is expected to scratch the seal off the
secret code and text it to the short code 1393 on all networks to
authenticate the drug. - See more at:
http://graphic.com.gh/news/health/29319-technology-to-detect-fake-drugs-launched-in-accra.html#sthash.bEGTIGx9.dpuf
A
prospective buyer or user is expected to scratch the seal off the
secret code and text it to the short code 1393 on all networks to
authenticate the drug. - See more at:
http://graphic.com.gh/news/health/29319-technology-to-detect-fake-drugs-launched-in-accra.html#sthash.bEGTIGx9.dpuf
Teknolojia hiyo ambayo imebuniwa kutokana na mkakati wa PSHG wa kuisaidia serikali kupambana na uuzwaji wa dawa bandia na zilizo chini ya kiwango itawezeshwa na Wizara ya Afya ya Ghana,Mamlaka ya Chakula na Dawa na wadau mbalimbali nchini humo.