![]() |
| Baadhi ya Kompyuta zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kama msaada wa shule ya sekondari ya Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini. |
![]() |
| Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini ,Henry Tzamburakisi akizungumza jambo na mkuu wa shule ya sekondari Shimbwe,Jacob Costantine alipotembelea darasa la Kompyuta shuleni hapo. |
![]() |
| Mmoja wa wafanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la Learning Insync akijaribu kuunganisha nyaya katika darasa la kompyuta lilopo shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru wilaya ya Moshi vijijini. |
![]() |
| Lisa Wolker akitoa maelekezo kwa walimu na wanafunzi. |
![]() |
| Walimu na wanafunzi katika shule hiyo wakisikiliza kwa makini. |
![]() |
| Mafunzo juu ya matumizi ya Programu maalumu ya kufundishia na kujifunzia yakiendelea katika darasa la Kompyuta katika shule ya sekondari ya Shimbwe. |
![]() |
| Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Tzamburakisi akielekeza jambo kwa wanafunzi. |

















