Hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya mashable inayoandika habari mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA).
Thursday, October 3, 2013
PROGRAM TUMISHI ZINAZOPAKULIWA KATIKA SIMU KUFIKIA ZAIDI YA BILIONI 100 MWAKA HUU
Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2013 inakadiliwa kuwa jumla ya program tumishi kwenye simu zitakazo kuwa zimepakuliwa duniani zitakuwa ni bilioni 102,idadi ambayo itakuwa imevuka lengo kwa kiasi cha milioni 268 lilokuwa linakadiriwa kufikia mwaka 2017.Ingawa ni asilimia 9 tu ya program tumishi za kulipia katika idadi hiyo.
Hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya mashable inayoandika habari mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA).
Hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya mashable inayoandika habari mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA).
Popular Posts
-
1.Kutune Gitaa /Kutafuta Ufunguo wa Sauti ya Gitaa Kulikuwa na wakati ambapo bei ya vifaa vya umeme kwa ajili ya kutafuta ...
-
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Bw Charles Kitwanga ameyashawishi mataifa ambayo tayari yamejiunga na mfumo wa Digitali katika haraka...