Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Dar es salaam limeanzisha kanuni ya
tozo la papo kwa hapo kwa njia ya kielektroniki na kanuni ya kuweka nukta katika
lesseni za udereva.
Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Mohamed Mpinga ameeleza leo kuwa hii ni
kutokana na kuongezeka kwa malalamiko toka kwa wamiliki wa magari na madereva kulipishwa faini na askari barabarani
pasipo kupewa risiti halali za serikali
Maelezo ya Kamanda Mpinga yote yako hapa