Katika ukurasa wake wa twitter Mhe Zitto Kabwe ametweet "Asanteni sana Wauza Mawese #TeamMawese leo kwenye uzinduzi wetu Kigoma Mjini. #WauzaMaweseVsWanyamahanga"
Mpaka saa 5:15 usiku tayali ilikuwa imesambazwa mara 15 huku ikiwa imependwa mara
23.