Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2013 inakadiliwa kuwa jumla ya program tumishi kwenye simu zitakazo kuwa zimepakuliwa duniani zitakuwa ni bilioni 102,idadi ambayo itakuwa imevuka lengo kwa kiasi cha milioni 268 lilokuwa linakadiriwa kufikia mwaka 2017.Ingawa ni asilimia 9 tu ya program tumishi za kulipia katika idadi hiyo.
Hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na tovuti ya mashable inayoandika habari mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA).