Thursday, March 28, 2019
APPLE YATOA SASISHO LA PROGRAM ENDESHI YA iOS 12.2
Apple wametoa Sasisho la Program Endeshi ya iOS 12.2 kwa ajili ya iPhone, iPad, and iPod toleo ambalo litawezesha wenye vifaa vya hivyo kunufaika za Apple zilizotambulishwa jumatatu ya Machi 25 mwaka huu nchini Marekani ikiwemo huduma ya kupata habari iitwayo Apple News+
Apple pia wameongeza imoji,ambapo iOS 12.2 itamwezesha mtumiaji wa huduma ya Siri iliyopo katika vifaa hivyo kuongoza Apple TV kwa kutumia iPhone au iPad.
Miongoni mwa madiliko yaliyokuja na sasisho la iOS 12.2 ni kukusianisha kwa Apple News+ na Apple News iliyokuwepo mwanzo,
ambapo huduma hii ya kulipia itawawezesha watumiaji wa vifaa vya Apple waliopakua sasisho hili jipya kupata zaidi ya magazeti mtandao 300,na machapisho mengine ya habari ya kidigitali.
Labels:
Habari
Popular Posts
-
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Bw Charles Kitwanga ameyashawishi mataifa ambayo tayari yamejiunga na mfumo wa Digitali katika haraka...
-
Shule ya sekondari ya Waadventista Wa Sabato {Tass} imepokea jumla ya komputa hamsini zitakazotumika katika mafunzo ya utafiti kivitendo ...
-
Microsoft is switching off its Windows Live Messenger service on 15 March. On that date Messenger log-ins will no longer work a...
-
Blogger katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa Ubalozi wa Marekani Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kupitia kitengo chake cha M...
-
Recording video has become easier than ever with the growing number of smart phones and the recording function of digital still cameras. Fo...
-
Over the years, Safer Internet Day (SID) has become a landmark event in the online safety calendar. Starting as an initiative of the EU ...
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Kudumu za Serikali imebaini madudu yanayofanyika katika uwekezaji wa kampuni za simu nchini Tanzania ...
-
Mwishoni mwa juma lililopita pamegundulika hali mbaya ya kiusalama mtandao itakayo waathiri watumiaji wa kivinjari kijulikanacho kama...
-
ILI kuboresha utoaji huduma kwa umma hivi karibuni Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeanzisha utaratibu wa kupokea malala...
-
Baada ya kuwepo kwa uvumi wa kipindi kirefu kuwa kampuni ya Apple inampango wa kutengeneza magari yake hatimaye siri zimeanza kuvuja...