Shule ya sekondari ya Waadventista Wa Sabato {Tass} imepokea jumla ya
komputa hamsini zitakazotumika katika mafunzo ya utafiti kivitendo
katika maabara ya kisasa ya sayansi iliyozinduliwa hivi karibuni.
Hayo yamesemwa na mkuu wa shule hiyo mwl joseph kehengu wakati
akiwasilisha taarifa ya shule kwa mgeniRasmi,wanahabari,wanafunzi na
wazazi kwenye mahafali ya kwanza ya kidato cha sita Tangu shule
ianzishwe mwka 1999.Bwana joseph alisema kuwa computa hizo zilizotolewa
na mmiliki wa shule hiyo ambaye ni kanisa la waadventista wasabato
Tanzania zitaleta mwamko mkubwa na hamasa kwa wanafunzi kupenda masomo
ya sayansi na zitawezesha utafiti wa maswala ya kisayansi
kufanyika kwa ufanisi zaidi.
Kwa upande mwingine
akijibu risala ya wanafunzi pamoja na taarifa ya mwalimu mkuu wa shule
katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita yaliyofanyika jana April 27
/2014 Mgeni rasmi katika mahafali hayo ndugu Wilson Kabwe mkurugenzi wa
jiji la
Dar es salaam awaasa wanafunzi wahitimu kutoridhika na kiwango
walichofika badala yake awasonge mbele zaidi kielimu.
Popular Posts
-
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Dr Godwin Lekundayo akiwaongoza viongozi wenzake katika maombi wakati wa ugawaji wa...
-
Miongoni mwa changamoto inayoonekana kwa sasa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (Teknohama) ni suala la ulinzi katika mitandao...
-
Baraza la Sanaa la Taifa nchini Tanzania (BASATA) limetoa siku saba kwa wasanii,vituo vya radio,runinga wamiliki wa tovuti na wa...
-
Meneja Uhusiano wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas Mushi akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam...
-
Waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa amesema hajapokea maombi ya Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Ta...
-
Waziri na waziri wa uchukuzi Dr Harrison mwakyembe amesema kuwa Teknolojia ya kisasa inayotumika katika uwanja wa ndege wa kimataifa...
-
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas (kulia), akihutubia wakati wakati akifungua Mkutano Mkuu wa...
-
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeingilia kati wizi wa fedha kwa kutumia mashine za kutolea fedha (ATM), ambao umeibua hofu kubwa katika s...
-
Click the image to open the interactive version (via http://pennystocks.la ).
-
Watumiaji wa simu za Nokia na Windows wamekuwa wakitamani kutumia huduma ya ujumbe wa maneno ya BlackBerry (BBM) huduma hiyo sasa itap...